Ile kitu hamuoni ni kwamba Juja ni kama ukambani. Ile jua huwa hio place ina-scramble brain mpaka unasahau jina yako. Hakuna haja ya kuwa na nyumba poa lakini huwezi toka nje. Alafu pia the surrounding area ni third world sana.Mahali kuna weather mzuri huwesmind barabara ata iwe five kilometers na siati unatembea kwa miguu.