Jukwaa Jipya la JamiiTalk laanzishwa Tanzania

Wakuu Watanzania tumeanzisha jukwaa jingine kwa jina la JamiiTalk.

Hivyo tunawakaribisha kujiunga na Jukwaa letu jipya
Visit our website www.jamiitalk.com

Akanyal klick unless klit

Did you learn to converse in English. Cause I ain’t be following the conversation in Tz Swahili

Tujifunze kiswahili. Let’s be proud of our Africaness:D

I prefer a site that is flexible in terms of language. Like ktalk. Here you can communicate in English, Kiswahili, sheng without making anyone uneasy or creating a communication barrier

I didn’t understand you

The forum use English you can visit it as guest via www.jamiitalk.com

Karibu pia mkuu kwenye jukwaa letu nitafurahi nikiwaona kule

Even our forum use default language you can use swahili, english, french and other supported language just visit to experience it via www.jamiitalk.com

Nyinyi na kizungu ni kama maji na mafuta.

Karibuni www.jamiitalk.com mtufunze kingereza huko

Mtaanza matusi na unnecessary competitions about which country is more developed.

Siyo hivyo chief na hivyo vitu huanzishwa na members siyo sisi waasisi.

Hivyo tunakutegema ujadili kule maswala ya kenya na habari ili na watanzania wafahamu.

Kumbe sio mimi pekee nilifikiria hivyo

Twaja basi mdau na sisi tuchangie mjadala.