Jukwaa la afrika mashariki

Husika na kicha cha uzi hapo juu. Mods tunaomba utuekee hili jukwaa kama ilivyokuwa kule jf ili tuendeleze kujuzana mambo mbalimbali ya africa mashaliki, midahalo, uchumi, projects nk.
Pia litasaidia kutuunganisha pamoja kwa kutambua tamaduni za kila mmoja ndani ya EA.

@The Tweet

Mods ili ombi naomba lifanyiwe kazi ili tuendeleze ile thread iliyokuwa ikitrend jf jukwaa la kenya news and politics “battle ya dar vs nai”