Jukwaa la Kiswahili

Status
Not open for further replies.

epoch

Village Elder
#1
Dibaji, hamjamboo wakurugenzi, viongozi, waheshimiwa, machifu, wadadisi, na wanakijiji wa utandawazi.......

Nina ombi moja, mimi kama mkenya halisi anayekienzi kiswahili naomba 'forum' ya 'Jukwaa la Kiswahili' ianzishwe ili tuweze kubadilisha mawazo na nasaha.

Si tunaweza jikumbusha kiswahili, tone ya sheng pia iwe inakubalika.

Ama munaonaje? Tupia wazo lako hapa.
 
Last edited:

xuma

Village Elder
#14

Jukwaa lipo tayari kaka. Wanakijiji hapa wako mbele kwa uhakiki wa kiswahili. Tuliza papo hapo nitaangusha nakala kwenye 'Kiswahili Endelevu'.Una mengi ya kujifunza.
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.
Top