Jukwaa la Kiswahili

Status
Not open for further replies.

ziga

Village Elder
#25
Dibaji, hamjamboo wakurugenzi, viongozi, waheshimiwa, machifu, wadadisi, na wanakijiji wa utandawazi.......

Nina ombi moja, mimi kama mkenya halisi anayekienzi kiswahili naomba 'forum' ya 'Jukwaa la Kiswahili' ianzishwe ili tuweze kubadilisha mawazo na nasaha.

Si tunaweza jikumbusha kiswahili, tone ya sheng pia iwe inakubalika.

Ama munaonaje? Tupia wazo lako hapa.
Unaomba forum na wewe mwenyewe unakitwanga twanga kiswahili!.. ..Thicwo!
 
Status
Not open for further replies.
Top