Jukwaa la Kiswahili

Dibaji, hamjamboo wakurugenzi, viongozi, waheshimiwa, machifu, wadadisi, na wanakijiji wa utandawazi…

Nina ombi moja, mimi kama mkenya halisi anayekienzi kiswahili naomba ‘forum’ ya ‘Jukwaa la Kiswahili’ ianzishwe ili tuweze kubadilisha mawazo na nasaha.

Si tunaweza jikumbusha kiswahili, tone ya sheng pia iwe inakubalika.

Ama munaonaje? Tupia wazo lako hapa.

1 Like

@xuma fundisha huyu fithuli(NV) lugha.

1 Like

Anayekienzi lugha ya kiswahili???

5 Likes

lo asante

yani bado huelewi makosa chako???

4 Likes

Hehehe, basi naomba usaidizi…

Kiswahilli .dll yangu ni ya tata but sijui kwanini hapo naona pia wewe tuko league moja.

3 Likes

Muwe wapole jamani, lugha ni ngumu aisee

1 Like

Ukweli…kutoka shule ya msing hadi kikuu nilishindwa na hii lugha.Sijawahi elewa ngeli…sijui msiati.:D:D:oops:

1 Like

nina @jumabekavu na @xuma

Nanakala zote wanazo za vitabu…

3 Likes

Nitawafollow upesi…

Ati vitenzi, viunganishi, n.k

Nitafurahi kuelimishwa

Jukwaa lipo tayari kaka. Wanakijiji hapa wako mbele kwa uhakiki wa kiswahili. Tuliza papo hapo nitaangusha nakala kwenye ‘Kiswahili Endelevu’.Una mengi ya kujifunza.

3 Likes

Kwa vile yeye ni mgeni, ninampa kumbi na wala siyo kiti akae kuleee.

Amekiboronga kiswahili kweli.

3 Likes

Utafunzwa. Tulia tuli!

1 Like

Safi, hadi ukaweka bold

Hivyo ndivyo nilivyo.

Nimetii