Nadhani jukwaa la Siasa ndo lilitufanya tuitwe wakimbizi. Naimiss JF jukwaa lilijaa hoja nzito nzito na makini. Hope wadau watakuja hapa kuendeleza
Mkuu lile ndio jukwaa liliwasha moto
Swali ni je, wangapi watahamia huku ‘‘ofisi ndogo ya chama’’ ?
Kukaa bila jf ni tabu sana mkuu
Watakuja wengi tu sema tu hii nayo waiweke pale freebasics haha
Mimi jana nimeshindia tangawizi na panadol aisee, uraibu kitu kibaya Sana mkuu
Haha mkuu uraibu unatutesa sana Hii imewapa shida watu wengi sana mkuu taratibu tutazoea
Mmh unataka ubwerere.
Mkuu sio bwerere
Jitahidi kutafuta MB
Usijali hapa uhakika ndo mana nateleza tu hapa
kuna watu nilisha wamiss tayari …mshana ukuje huku
akija naomba unitagi
[FONT=tahoma]Kina Barafu inabidi waalikwe wadau[/FONT]
Atakaye mwona MaKUFULI mwambie toka hapa Kenya twasema yeye ni ms***e kabisa na akome huo ubaradhuli wake wa kuhujumu raia wa kawaida.Ni kweli maskini akipata matako hulia mbwata…Hivi mamlaka yamemfanya kuvimba kichwa…shenzi sana.
hahaha
Nadhani lazima wafanye mamluku waingize watu wao wa kuvuruga na huku pia
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Aiseee, nice to hear… Sasa Jf inahamia Kenya kwa muda