JUKWAA PENDWA(MAMBO YA KIKUBWA)

Jamani wale wenyeji wa jukwaa pendwa la kule chini kabisa tunafanyaje huku?

hebu nipeni mwongozo(wakuu) villagers wenzangu,

huku halipo
labda tuwaambie waliweke

Na jukwaa la photo halipo

Nashangaa…yani ya huku ni tofauti na ya kule kwetu TZ

yaani wee

Tutazoea tu twende mdogo mdogo

Tutakonda sana mwaka huu :smiley:

Huwezi kunenepa ukiwa ukimbizini

it’s time tupate ka gurupu ka wasapu memba wote wa jukwaa la wakubwa au sio

Naku support kwa asilimia 100 Evelyn

Tusubiri Ramadhani iishe wazeya…

Due! Nilikua natafuta namba yako nikuite huku kumbe umekuja karibu

Uko watu wataombana mbunye hadharan eve!

Kwani kuna ubaya?

kizuri kula na mwenzako.

100%

Mkuu kama mbunye zipo kwanini wasiombe.?? Wenye nazo watazitoa tu.

Ulichopewa bure dhambi kumnyima mwenzako

Unataka kutumika na watu wasiojulikana nini?

Me nakuomba basi wewe, nambie nikufuate chemba

LIA unaogopa kuombwa mbunye? Ha ha ha