Meffi yeye. Kenya right now kuna trust issue. We don’t trust this government which has been lying. Watu Kwa matatu wanakaa watatu bila any worry.
The country is on autopilot. Msidanganyane ati curfew kuna vile inasaidia kuhusu covid. It’s has not been proved ati covid is active at night.
The government is using the same assumption ati at night covid ndio iko active.
Wadau,mimi nimependana,nimependwa,nimependana na tumependana sana,hiyo lockdown ikuje ndio mapenzi yakithiri…yaani tupendane zaidi.
Penzi tamu hili aki yaaooo