Just Landed

Just landed in the city in the sun at the same exact time the Tusker truck landed at my locals,
Sato aftee, lazma na lazima tusker na kanyama choma hivi kaland
haya twnde kazi [ATTACH=full]14161[/ATTACH] [ATTACH=full]14162[/ATTACH] [ATTACH=full]14163[/ATTACH]

3 Likes

Sawa anko, niko nyuma yako

Tusker + Nyamchom = ‘Ngauti’ :confused:

2 Likes

pics 1 & 2- that’s not the same meat…kwanza hiyo ya pic 1 inakaa ni kama ilichomwa na ipii walio na njaa saaana…

1 Like

hiyo nyama haijaiiva

1 Like

In pic 2 kwani hio nyama inachomewa kwa bedroom naona pillow za blue na yellow huko ama ni bed inewekwa kwa sitting room.

hiyo ya pic one ndiyo imechomwa na stove…

Choma nyama ikiwa full bila kukata kata. Ile Tu inafanywa Ni kuchanjwa chanjwa Ili chumvi iwekwe lakini kipande kisitokane. Uipige picha uipee 45 minutes ukipewa drinks.

hiyo Lorry ya Tusker imechapa tu sana, na piya uambiye hao wtu wa local yako wache kuchoma nyama na candle

1 Like

Pic 1. Hiyo ni rare. Very sweet

again the better, and sweeter, portions of a goat for roasting are the forelimb (mkono) or ribs. the hindlimb, especially if it is of an older hegoat is normally too tough when roasted…

1 Like

nyama haijaiva

Kwani kupiga picha ndiyo kunafanya iive?

Na hiyo mbao ya kukatia nyama huwa inaoshwa? It seems likely to harbour lots of pathogens.

1 Like

Isionjwe Sana Na cook

1 Like

Hio kisu inakata nyama inakaa ni kama iko na tetanus

@Wakanyama kuja sikia vyenye kisu na nyama yako inasemwa vibaya hapahivi

Hio mkono inakataa hio nyama inaka kama ya mtu ana ebola. Siwezi imanga walai

Hehehehe. Funny comments.

WATU WANALALA NJAA NA WANAONGEA MBAYA JUU YA NYAMA