Just what we need in the 254

Pseudonyms

Village Elder
#4
Ni poa but inaitwa marketing.

But in our context, it wouldn't be good. Umeona watu wangapi wakifanya hio kazi? Less than 10 therefore little employment.

Wapi mama wa chapo na uji? Wapi vijana wa kazi? wapi foreman? Wapi kiosk kando ya barabara za kuuza fegi na chakula?

Go ahead and call me backward.
 
#14
Vipi Doc. Hiyo article inasema they built a 12km road using cheap tech, costing them 4.8 mirrion dorras(480 million or 40m per kilometer). How much would it have cost using kawaida tech?
 
Top