Mwenye ako hapa akuje ninunur moja
picha…
umepark bike vizuri?!
3 Likes
Bike iko poa iko safe…nyororo na padlocks mbili
2 Likes
Nimeingia kuliza mmambo ya black mambo.
P.s mbisha
Aaah ata nyinyi mumekuja sana…picha kila time? Nimeenda herisquare sasa…mwenye ako huko asema
kama hakuna picha ni hekaya tu
Ni place gani poa ya ku watch boxing ya mayweather na paq?
There used to be a guy who posted night scenes from these pubs, hakuna mtu anaweza tupea uhondo?
TV I guess since you cant make it to Vegas.
2 Likes
Wewe ni ugali sana
tunangoja mbisha na pia cheki maneno
1 Like
Mbisha ya cheki maneno nitaweka soon