K24 bringing honour back to kenyan tv

Euro qualifiers live on tv

France vs Turkey .

Si hizo upussss za @Yunomi

Niaje mshuto ya X6

Alkemist twende kanisani sunday

Sina time machine. Sunday ilikua jana

Kunywa busaa porepore

Utaoa lini

Unaonanga kila mkenya ako na free internet ya Ku stream ball ?

Ukraine 2 Portugal 0
England 3 Bulgaria 0

[ATTACH=full]265191[/ATTACH]
Ukrainians apana tambua ronaldo

Wanawake ni loose, why not fuck them and let them be?

Sande sana unko pewa momo unitumie paybill

Kosovo inacheza bana

:smiley: huku ni billionaires pekee

Hii generation haikuwa wakati champions league was shown by only KBC sio kama saa hii you have stream ama ulipe DSTV. I think digital migration created a greedy monster.

KBC ili tu wean na Champions league vizuri . kwani what happened wakawacha ? Hii serikali ya Uhuru Ni mafwiiii .

I like how these Eastern European countries ziko na great work ethic. Last world cup Russia was the lowest ranked team according to fifa ratings but they proved they can do it. They have assembled a good strong team never thought Russia could be a strong footballing country.
Am thinking of kuweka a small ante-post bet Russia to win euro 2020

Waliweka fossils kwa management and they never changed with the times.

Banaa sijawai ona madharau Kama hii

K24 wameonyesha first half then wakafunga station wakaingia mitini . second half ongeeeee nkt

Itachoma