kabaridi na kajoto....i whatsapp jameni

Status
Not open for further replies.

Pos€i.Don

Village Elder
#1
umewasikia kabaridi na kamoto hehe..so ninakuwanga kwa groups mbili whatsapp.izi za mavideo chafuchafu but mi huwa incognito huwa sicomment ni kusoma tu na kudownload. wueh nakwambia bahati mbaya ikikuja huwa inakuja style ya kura za tharaka nithi. sasa leo nimejichocha juu nimeona video moto kwa group moja ati naeza ipeleka kwa group ingine ndio atleast ata mimi nionekane. kumbe io ni pepo la saitan..sasa nimeforward video kwa group ya extended family by mistake. then ubaya nilikuwa na 3G so imeenda chap chap nikaona katick moja...hapo ndio nimeskia kabaridi na kajoto. umewai kuwa confused mpaka ukauninstall whatsapp ukafunga simu na kutoa simcard..then story imeharibika juu group ilikuwa imechacha moto juu i wikend ndio ruracio ya cuzo wangu mmoja...waah najipanga kusema ilikuwa hacked...
 
Status
Not open for further replies.

Top