kabaridi na kajoto....i whatsapp jameni

umewasikia kabaridi na kamoto hehe…so ninakuwanga kwa groups mbili whatsapp.izi za mavideo chafuchafu but mi huwa incognito huwa sicomment ni kusoma tu na kudownload. wueh nakwambia bahati mbaya ikikuja huwa inakuja style ya kura za tharaka nithi. sasa leo nimejichocha juu nimeona video moto kwa group moja ati naeza ipeleka kwa group ingine ndio atleast ata mimi nionekane. kumbe io ni pepo la saitan…sasa nimeforward video kwa group ya extended family by mistake. then ubaya nilikuwa na 3G so imeenda chap chap nikaona katick moja…hapo ndio nimeskia kabaridi na kajoto. umewai kuwa confused mpaka ukauninstall whatsapp ukafunga simu na kutoa simcard…then story imeharibika juu group ilikuwa imechacha moto juu i wikend ndio ruracio ya cuzo wangu mmoja…waah najipanga kusema ilikuwa hacked…

Kwani fwakin wewe ni PROF HAMO?

3 Likes

wewe hio vindeo hapa tuone mblo otherwise ni hekaya

1 Like

lugha ni same …circumstance ndio tofauti

[MEDIA=dailymotion]x34a9ct[/MEDIA]
ndio io vindeo mblo

1 Like

BudaBoss hio line professor hamo alishaa angusha

Hehehehehhe…buda hapo nayo umejipata. Andika cuzo akipata less than that ni raw deal.

hehehhehe…Hao ni watu wa wapi boss?

Hii ni watu gani? But jitete sema somebody used your account. As in one changed his/her whatsapp number to yours.

Hehehe. Hii send button inafaa kuwa na question tag "are you sure you want to commit suicide "

4 Likes

Hehehe shit happens

Hehe, kuna kidem kimeji nyonjisha na hio 12 incher

Crazy.

Bro,all is not lost. Hiyo group iko wapi nijoin…especially hiyo ya findio na ndrama moto moto

hehe pole jamaa

ebu niwekee hizo video kenyanlist.org

hehehe…total balaa !

HAWAWEZI KUUA KWANZA UTASHANGA GRANDMA WAKO ALREADY ALIKUWA NA HIO PORN.

1 Like