Kabla Bashite hajawashitaki, TRA walishamshitaki

[SIZE=7]Kabla Bashite hajawashitaki, TRA walishamshitaki[/SIZE]

http://sautikubwa.org/wp-content/uploads/2018/04/MdAoZ-7p_400x400-150x150.jpg
[U] Ansbert Ngurumo [/U] Posted on [U]22nd May 201822nd May 2018[/U] One Comment
http://sautikubwa.org/wp-content/uploads/2018/05/MAKONDAA-870x522.jpg[U] [/U]

KUKANA makontena kama ni yake au si yake, wala kutishia kuwashitaki TRA – mamlaka ya mapato Tanzania – na wizara ya fedha, hakuondoi ukweli kwamba wao ndio walitangulia “kumshitaki “kwa mamlaka nyingine, kama barua hii inavyoonyesha. Bonyeza usome mwenyewe. [U][B]Makontena[/B] ya Bashite[/U]

Nadhani kuna mtu atakuwa anajuta kuifungia JF. Huku ugenini tutapata habari zote - mpaka ratiba za Sizonje kwenda kwa cheupe - bila censorship. Matokeo ya kuchamba kwingi hayo.

Aisee

Kweli Jiwe hana rafiki. kama barua kama hizi zinaweza ku leak, then we are the winner!

Umemaliza kazi! Tutapewa hata ratiba za pace maker zinabadilishwa muda gani! Schizophrenia drugs anazotumia tutazijua sasa!

Siri

haina muhuri wa “SIRI” hivyo sio siri. jiwe atagombana na kila mtu ili kumlinda “opportunist” Bashite

hahahaha barua hiyo yaweza kuandikwa hata na Ngurumo

!
!
Tupo Pamoja. Hivi Jamiiforums Hawawezi Kuhamishia Ofisi Kenya Na Kuendelea Na Mambo Yake Kama Kawaida

[FONT=tahoma]JF hamisheni administration nchi jirani mambo yaendelee kama kawaida[/FONT]

Huna akili hata ya kufikiri, unaandika ili mradi uandike tu

hawa mumiani siku zao zinahesabika I swear!

Hivi wewe ni mtu kweli au kibwengo?

watakoma tu…

hatariiiiii

Na wewe umetolewa balu mpaka ukimbizini!! CCM vichwa vya panzi kweli, yanashangilia tu bila kujua athari zake.

Biashara ya matangazo ya JF itapata changamoto kwa kuhamishia ofisi Kenya.Makampuni ya Tz yatakayotangaza biashara zao JF ,serikali itayachimba bit kama ilivyokuwa kwa mkataba wa Mange Kimambi,Blogg ya UTurn na vodacom!

Mkuu hilo jamaa ni lipimbi, ujinga wake linauleta hadi ugenini.

naona mpango kajiwekea kinga ya kutosha Ili kesho asiwe kafara

cheupe yupi? yule wa madini?