kaboom!

Born Tao

Village Elder
#1
Leo hakuna kulala!
Watoto iko gicagi,pipi niliambia aende bedroom alale nikieka mzee abdalla charge.
Born tao ako sitting room akiteremsha shamba ya giza na William Lawsons.
Kalaviseni inanichezea country music pale fanaka TV.
Mama watoto lazima ajue threshold ni nini kukicha.
Church kesho atatoa hadi ushuhuda Kwa furaha na buraha.
 

Born Tao

Village Elder
#3
Naskia nitakatema inabaki afadhali kesho nisiingie ibada. Veve na whisky ni maisha randan tu. Hakuna kulewa but handas kibao kama mvua hapa cendro.
Ata nimeswitch kalaviseni to kass TV mahali county zinachapa;precious memories.
 

Born Tao

Village Elder
#7
Hii nairobi makali zote ni bandia.. Doc orders.. Maneno na afya..tuone wajukuu..
Walai sijawai piga detox na am over 30. Mind you i started pinting when I was 14.
I guess what I was taking then; Medusa,simba,Vienna; coz I could simply not afford to buy myself any alcohol.
Hii ilikuwa inabuyiwa na wale machamaa walikuwa wanataka niwe ka wao.
 

Born Tao

Village Elder
#16
Have you ever heard of politicians talking of been misquoted? I did not mean what you are thinking! Mimi battery yangu haijawai hitaji booster but najuaga Veve na whisky ni mofaya!
Si umesema unaitaji hio charge (miraa+whiskey) to boost your sexual libido in bed. Si ukioga zitashuka
 

Top