Kabras Sugar

Hi
I am selling 2 kgs of unopened Kabras Sugar . Im sure it’s chuck full of essential minerals & micro nutrients, on the same note any tips on which sugar brands absent of aforementioned essential minerals ? Can’t remember the last time I saw white sugar on the shelves !

Ati essential minerals :D:D:D

Niliona hii shugee ni mojawapo ya zile zilikuwa packed na the fake brown sugar

When ur sliding into the MRI remember that comment !

Tumekuwa tukitumia kabras kwa miaka kadhaa baada ya mumias kupotea na tuko bado sawa.

Hakuna mtu ataishi milele.

Kabras is Part of kenyattta family empire.

Sometimes i wonder where to run to…death is chasing us in all directions. Mungu saidia, mimi sitaki kukufa

Nilishangazwa sana nilipoona kwenye televisheni wataalamu toka mamlaka za udhibiti ubora wa bidhaa (KEBS) wakisema kuwa uchunguzi wa sukari ya magendo unaonyesha imechanganywa na kemikali ambazo ni sumu kwa matumizi ya kula kwa binadamu kama vile shaba na zebaki

Watu wakunywe dubia wapunguze diabetes and the risk of getting cancer from these chemicals

naona matiang’i amewaharibia kitunguu watu wa sukari ya mercury.Kenya nkt. sell adulterated sugar, then use the money to open a private hospital to cure the resulting diseases…tuliwaonea 18 sku izi tunaeka asali hadi kwa keki

Hii pesa ya election tulikula tutalipa through our health.

Kabras ni ya wakalasinga wa Raiply,Menengai oil,

Hii sukari inauzwa kila mahali. I’ve seen someone hawking it kama njugu.

na vile tumekuwa tukitumia hiyo sukati mtaani

You don’t know the relationship between Rai and kenyatta family?

Sijui na tuachie hapo