Kabruuu mang'aa

kwisha mimi ,hii ndio kifo ya nyani sasa…

sema kupatikana leo…si
nmeonana na kamzungu huku
naivasha ,nkafikiria ati kamenipenda juu
ya
vile mii ni mhandsome(ama niaje
madem? ) na mjamaa mpoa …SI
tumeswim
kwa lake Kama kamzungu kamevalia
thong pekee, waah! Tarimbo nayo
haikuwa at peace,kuniaibisha kila mara
,
nkakambia kamzungu historia ya kenya
na
nkakambia vile spendi madem weusi na
vile
roho
yangu inatamaningi kuwa na mzungu
yaani
tumejuana leo tu ,na nmeonyeshwa
mapenzi
mpaka nadhani tunaact ka soap
opera ,yaani mpaka
naona kuna watu wanatu record ,alafu
wakauzie wasichana wakenya izo
video ju madem wa kenya ni manugu
tu ,wakajifunze mapenzi…
wee kamesema sasa ni time ya kwenda
lunch ,mi nkakashow twende place
flani ,yenye
ntafika bei, mi ni msee nimezoea ugali
mix ,ingawaje nikiwa solo swes kula
apo juu mahali
chapo inauzwa 40 c pa msee ako attacho
ka mimi , ka
dem kakanishow "why go all the way to
town ,lets have our lunch in one of lake
hotels
"
enyewe mahali naskia siwes fika bei mii
husema mapema,juu kwa mfuko nlikuwa
na 1100 ,
nkasema “bt huny yu
know ,” kakaniambia “i know ,is all
abt
bills ,worry not baby ,i understand evry
thing , pliz dont comment anything the
bill is
all mine” mtu
mwerevu anajua hapa c pa kujifunga,uyu
ni
mzungu
mtu ata next week anaweza ninunulia
gari ,
aki nimekabeba tu beach front mpaka
kwa
hotel pap ,watu wanatuona wanatupigia
makofi wacha
tu,“you pipo ,are you in huny moon”? ,
tumeletewa menu ingine inakaa album…
mii
nkaona niitishe vitu zmeandikwa israeli
buffet , kwanza waiter
amekaa ,vile waiter amekam nkamuuliza
“ni kazi
imewalemea ama hyo chakula ilikua
imekimbiliwa jerusalem?”
amenijibu kwa unyenyekevu
saana ,nkamshow
“toka apa ,usiniudhi” bt nlikuwa nataka
nikitoka nkaachie mia mbili…
sasa to mek story short ,bill yetu naskia
inagongea 11k ,my kamzungu cjui
kametoka
kameenda wapi ,awa ma waiter ni kama
wanasuspect ni kubaya ,wananitupia
jicho sana ,
kamzungu kako mteja , mii sasa naomba
tu
bwana wa majeshi asiniwachilie
jangwani ,
asimame na mimi kama alivyo simama na
mtumishi wake ayubu,
saa unaimajin nkianza ku call watu wetu
niwaambie nmekula 11k ,chakula ya
lunch
tu ,
naona nipotee ,lakini gate iko mbali ,uko
chini
ni lake, , aki hii kama ni kuchonga viazi
leo naye na
chongeshwa pick up nane , wooiii mi
natuma
ombi
kwa serikali yetu iniangalie ,na marafiki
msimame na mi wakati huu
mgumu ,bwana wa
majeshi awabariki…woiii

Leta number ya simu tukutumie… We are more than 11000 here,

Kiyana ya shule, iyo attachment umeweka Hapa ya mukuru zukabaga yamaanisha nini?

Ni hio tabia yako ya kubebabeba,umebeba vitu mukuru kwa zukabaga ukaleta huku

upuss NV BRARE CHIETH

Chonga viazi polepole bila stress. Hata wakupatie karoom hapo uchonge mpaka kesho kutwa!

Copy pasted sheet

NV weka picha ndani ya hoteli and the bill na Uso yako. We will send u 11k in due time.

Hii ni story fake bana copy pasted

Mbona inakaa shairi

Orundu mpaka:ngweno wewe

:D:D:D
Ati?
Umeng’oa kila kitu my fren.