Kabuda na wakanyama bado wako hai ?

Ndio mimi huyu…

Kabuda ametujoin Ile pande ingine aka kijiji ya wazee

mko na mabo bana!
Kijiji gani tena?

Link…

Kényánlist.net

nikuulize?
uko kuna kuperekwa Siberia?

No

Hakuna lakini ukileta upii unakuwa electrocuted!

Niko na musho wa mecho… na ma-extra axtra

Mesho inaoshwa kabisa huko bila wasiwasi.

Weka sample hapa tukague, ng’ombe

Tuko ngangari

Why are you trolling this streets? Your handle is veeery very queer. Am 100% sure you’re an old talker with a new handle ya kusumbua hii kijiji.
Si utulie huko pole pole bila kusumbua.

Guokni…nilijaribu nikarushwa nchi kavu aise…

Vipi BIG fire?