KABUDA WE NEED TO TALK

@Ka-Buda come here kiasi, ati ulisema uko na watoto wangapi?
Migori Senator ako na watoto wengi ata wengine hawaja toshea kwa obirtuary.
[ATTACH=full]178580[/ATTACH]

have counted 24 hapo, hao others ni wangapi?
ile vita itatokea hapa ya mali itakua epic

If they had the guts kuweka hao wote ina kaa marehemu ali waita wote aka wa introduce. Most likely wata kua kwa will…The late gashagua ame fungulia watu njia

lets wait and see if he had a will
kwani how old was he?

Alipita na wanne…

lazima alishinda na landslide, hizo kura alikuwa amezaa tosha a true African man

Apparently ati alikuwa na watoto wengi mpaka akiingia Kwa nyumba anawasalimia ati…" Habari ya Wananchi?"

High school joke… very old

what if some of the children were adopted… or came with the women he married? just a thought though.

he had adopted several kids

adopted pengine ni hao written as “many others”

…noticed that two wives are dead? teren…

Maybe he practiced ‘Tero Buru’ hence adopted all the nephews and nieces as his kids

Dry fry king.

In a shiny eye obituary you cannot find the word deceased’. It’s too wordy hence more expensive. It’s mostly ‘late’ or ‘L’
Mbesha tingz.

Waiting for inheritance battle. With popcorn.