Kuna nafasi za kazi zilitangazwa na kadco vipi wakuu nini kinaendelea
Naona bado braza tuendelee kusubiri.
asante mkuu
mkuu kwani hujapata kazi mpaka leo?
bado mkuu nisaidie
subirin watatangaza mkuu
aisee
Vip umechoka kusubili? Wakat kuna nafac watu walisubir hadi miez 4