Kalewa Sacco: Kufagiliwa na Kunguru Edishen

kender9

Village Elder
#1
Enyewe kunguru hafugiki. Jana nimeenda katrip, sasa nikiwa requim mass hapo holy trinity church Kile, nikapigiwa simu na neighbour, akanishow "jirani kumbe unahama na husemi " , nikamdismiss nikamwambia amekosea, akanishow "ukweli mama nanii ameleta lorry hapa vitu zote zinabebwa". Nikasema acha nimcall ni confirm. The hoe alikua unapologetic na kunisho amechoka na kufanyiwa madharau na kuhanywa (na hakuna kitu kaa hiyo, she's just so paranoid )na amebeba vitu zake tu. So nikaambia caretaker n jirani waache aende. Later nikaconfirm amebeba nini, my friends niliambiwa alibeba karibu kila kitu. Leo kufika kwa hao napata nimeachiwa tu dustbin, soap dish, nguo zangu na toilet brush.
Before mtu anijudge, mtu akuwe na facts.
Mimi sasa naingia hapa kwa Kaloki nikunywe Gilbeys na faxe nikitafuta kabedsitter kwaja
 
Top