siku moja tumetoka field Isiolo na colleague tukim-drop kwake kitu cha kwanza ali-notice ni one naked bulb on in the bedroom na nyumba haina curtain. kumu-accompany kuinvestigate nyumba inakaa kanisa monday asubuhi minus pews...bedroom malong zake na shirts zimetapakaa na isitoshe long zote had been worked on na makasi katikati ya miguu and the resultant patches carried away. ilikuwa ngori i tell you!
Hii ndio maana naogopa a woman's wrath. Wao hujipanga pole pole kwa umbali then they hit at once kama hurricane when you least expect it. However at least hurricane you will be warned in advance by the weather channel... hapa nayo wueh!
siku moja tumetoka field Isiolo na colleague tukim-drop kwake kitu cha kwanza ali-notice ni one naked bulb on bedroom na nyumba haina curtain. kumu-accompany kuinvestigate nyumba inakaa kanisa monday asubuhi minus pews...bedroom malong zake na shirts zimetapakaa na isitoshe long zote had been worked on na makasi katikati ya miguu and the resultant patches carried away. ilikuwa ngori i tell you!