Kuna boy wangu he works in Britam, 2013 October to be exact, jamaa fresh employed akanunua vitu kiasi kwa nyumba, out of feeling like a master juu ya pesa kapata dem, jana wakalipwa 24th on a Thursday siwezi sahau, wakaserereka salo yote by 29th pesa imeisha,, jamaa the last 1k akaamua kufukuza mtu nayo kaa fare na kaenda job, key apee caretaker. Weee jamaa alifika nyumbani jioni, hana pesa hana vitu dem aliepa. Msee salary ya kutumia November imeisha October 29th. Woooiiii jamaa alianza kukula chai na KIDANCE ya ofisi kaa shiet, juu anajua hakuna lunch ama supper.
Jamaa alikua akifika kwa hao usiku, hawashi stima anaingia ivyo tu kwa nyumba adi bedroom, anajua njia, anagonga kitanda na mguu moja alafu anaruka kwa bed hadi salary ya November ikaingia.
Up to today we usually laugh about hii episode.