Enyewe kunguru hafugiki. Jana nimeenda katrip, sasa nikiwa requim mass hapo holy trinity church Kile, nikapigiwa simu na neighbour, akanishow "jirani kumbe unahama na husemi " , nikamdismiss nikamwambia amekosea, akanishow “ukweli mama nanii ameleta lorry hapa vitu zote zinabebwa”. Nikasema acha nimcall ni confirm. The hoe alikua unapologetic na kunisho amechoka na kufanyiwa madharau na kuhanywa (na hakuna kitu kaa hiyo, she’s just so paranoid )na amebeba vitu zake tu. So nikaambia caretaker n jirani waache aende. Later nikaconfirm amebeba nini, my friends niliambiwa alibeba karibu kila kitu. Leo kufika kwa hao napata nimeachiwa tu dustbin, soap dish, nguo zangu na toilet brush.
Before mtu anijudge, mtu akuwe na facts.
Mimi sasa naingia hapa kwa Kaloki nikunywe Gilbeys na faxe nikitafuta kabedsitter kwaja
ungetafuta kwanza mattress na bedsheets za kutumiwa kama curtains. saa hii utakua unakaa kama ndege kwa nest. kila mtu akipita anakuona.
Shida ya kuwacha bibi anunue fridge alafu wewe unanunua nyama.
Kuwacha bibi anunue tv na gotv wewe ulipie subscription.
Bibi anunue cooker wewe urefill gas.
Utajiju.
:D:Dhuyu at a labda deposit imeenda na bibi. Kidogo akicheza Deputy Caretaker
:D:D atakujiwa aambiwe atoe hiyo dustbin yake aweke kwa nyumba ya watchman. saa hiyo ako na gibleys kwa mfuko na mayai tatu za supper
Bibi anunue DVD player, wewe ulete series, Bibi anunue karai, wewe ulete sabuni
bibi anunue TV wewe ununue HDMI cable
Drink until you are sober again.
:D:Dbibi anunue kitanda ununue pillow case.
Bibi anunue gari nawewe ulete air freshener ya gari
God help the boy child
my gender is being targeted
bibi anunue curtains wewe unune curtain rails and hooks
bibi anunue nyama wewe ununue toothpick
anunue carpets wewe ukue unalipia monthly cleaning
Umewahi peleka kwao at least kuku au mbuzi pekee??
Peleka kesi kwa OB. Funga mtu usisamehee kunguru.
Bibi anunue ng’ombe. Wewe ukamue.
bibi anunue karai ww uchote maji
siet i dont knw why iam laughing so hard
Wah, hii ni ngori but I totally relate.
:D:D:D:D
Pole sana. Be gentle guys.
Mko na watoto?