Kalonzo gave up (video)

[MEDIA=facebook]id=10215220654098067;type=video[/MEDIA]

On what?

Hehe, this guy ako na shida sana. Nobody respects him again. Wueeh, hadi jamaa anarusha mkono!

1 Like

Na analilia nini? Ama ameambukizwa ugonjwa wa kulia na jicho moja?

What was happening? Context?

The ruling ya supreme court imefanya other party members within the glass house that is Nasa to go after those who won even within the coalition. Mtu wa odm anaendea wa wiper etc.
They are asking Kalonzo to talk to the principles waambie watu wao waache kukujia viti za wale walishinda otherwise they will bolt.
I think I heard one of them ask for money also…hehehe
Kwanza hawa ni leaders wa mashinani. They are the ones who can break or make your campaign.

1 Like

@Saprano your input will be highly appreciated. Siasa za kwetu

1 Like

Haha uotp team under pressure.watajua hawajui.
They thought petitions would only go against jubilee.
Hilarious.

2 Likes

Nimecheka sana!!! Hehehe!
Sasa huyo ndiye kiongozi wa kuokoa Wakamba kweli? Imagine kama ingekuwa ni ODM imedhulumiwa? Just imagine!
And you wonder why Omar Hassan had to resign from wiper!!! Kalonzo is not man enough to protect his own!

2 Likes

Kamelon kamecatch mbaya sana

Tupatiwe commentary ya dj afro wwngine wetu hatuko mukuru kwa zuckerbaga

Kalonzo alikula 300 million za Wanjigi, and like the free-loader he is, he cannot stand on his own two feet but is mortgaged to JaKuon. I can understand why Musila, Nyenze and others have had enough of him.