Kama kuna member yupo Dom anipm tuende club royal village

Jaman nahitaji kampany kwa ajili ya kwenda club leo usiku kiwanja cha royal Dom yeyote anayehitaji kampany PM tukatoe stress za kufungiwa Jamiforum.

Sijui nikuPM:D

Nipm tukapunguze arosto za Jf hii ningepost Jf nahisi tayar ningeshapata kampany huu uzwazwa kabisa

Natumani ningekuwepo Dodoma leo. Tatizo @Mshana Jr

Duh