Kama Kuoga Kweli Ni Usafi....

… kwa nini taulo kachafuka?

https://www.youtube.com/watch?v=C7jT9H6rlcg

Nini mbaya Sponsor?

Najisikia kama sijaoga na nimetoka bafu saa huu huu…:smiley:

Hii ya taulo, niliskia during the goldenberg scandal, Boiyo :D:D:D

ju hukuoga vizuri na ile kagunia

@mukuna hii ngoma ni yako?