Kama Mtangazaji Chacha Maginga anamuita ' Lioleli Messi ' badala ya ' Lionel Messi ' ningeshangaa kama wangewafunga Wafaransa!

[FONT=courier new]Ninachojua baadae Saa 3 usiku Uruguay hawataniangusha Kipenzi chao GENTAMYCINE kwa kuwafunga na kuwafurumusha mashindanoni Portugal wakiwa na ’ Shoga ’ yao mmoja asiyejua mpira na ninayemchukia kuliko Shetani Mkuu Lucifa.[/FONT]

[FONT=courier new]Malaika Mkuu Lionel Messi akitoka ’ mashindanoni ’ haiwezekani Shetani Mkuu ’ Lucifa ’ akabakia na kuendelea na ’ Mashindano ’ haya ya Kombe la Dunia yanayoendelea huko nchini Urusi.[/FONT]

[FONT=courier new]Ewe Mwenyezi Mungu najua siku zote huwa unanipenda na kamwe hujawahi hata siku moja kuniangusha pale ninapokuomba hivyo nakuomba tena ifikapo tu Saa 3 Kamili usiku fanya kila uwezalo Timu ya Taifa ya Uruguay iwafunge Portugal ( Wareno ) kati ya Goli 5 au 7 kwa bila / sifuri ili roho yangu ifurahi na moyo wangu uwe na amani.[/FONT]

[FONT=courier new]Nawasilisha.[/FONT]

Dua la kuku… Nakuambia hiyo saa 3 utapata tabu sana.

Naunga mkono hoja yako kama wabunge wa ccm wanavyounga mkono hoja mbalimbali za serikali bila kufikiri.

Napenda kuona Ureno wakipata tabu sana

Leo Kuna Timu Itapata Tabu Sana

Mpaka sasa Ureno anapata tabu sana.

[FONT=courier new]Akhsante Mwenyezi Mungu kwa Kuisikia na Kuijibu vyema ’ Dua ’ yangu dhidi ya Kutolewa kwa Portugal mashindanoni huko Urusi wakiwa na yule ’ Shoga ’ yao Mkuu.[/FONT]

Nipo nje ya maada Hivi CR7 hakupaangwa kuanza walivyokutana na Uruguay?

Kichwa cha habari hakina uhusiano wowote na haya maombi.