Kama wewe ni mwanaume na unafanya haya mambo... change your name to Shaniqua

Status
Not open for further replies.

Okwonkwo

Village Chief
#1
1.Eating inside a Matatu (If a must chew a gum)

2.A mat must completely halt for you to alight (mwanaume ni kukanyangiwa kwa jam ama bump unaruka)

3.You use words like....woishe, woiye, khai, Gosh, OMG.....

4.If u own a car....kuekewa pumzi na fuel
attendant.

5.Kubebewa kamzigo tao na jamaa kwa bega(afadhali trolley if its twice your weight).

6.Kubebewa gas cylinder na attendant.

7.Kusneez unasema ...."excuse me"

8.Kutapika ukilewa sana.

9.Kusimama tao kwa smokies zone na kula hapo....fungiwa ukulie mbele.

10.If wewe ni bachelor na kwako uko na bathing soap na laundry soap.

11.Kungoja ufunguliwe soda kwa function.... Meno ni ya nini boss?

12.Kuoga morning na jioni.

13. Kushika mtu wa boda kiuno.

14. Kulala na shorts , T-shirt na sock (mwanaume ni kulala na ngotha pekee ata kukiwa na jeve)

15. Kukula kuku na kisu na fork.


.... ongezeeni zingine.
 
Status
Not open for further replies.

Top