Kama wewe ni mwanaume na unafanya haya mambo... change your name to Shaniqua

1.Eating inside a Matatu (If a must chew a gum)

2.A mat must completely halt for you to alight (mwanaume ni kukanyangiwa kwa jam ama bump unaruka)

3.You use words like…woishe, woiye, khai, Gosh, OMG…

4.If u own a car…kuekewa pumzi na fuel
attendant.

5.Kubebewa kamzigo tao na jamaa kwa bega(afadhali trolley if its twice your weight).

6.Kubebewa gas cylinder na attendant.

7.Kusneez unasema …“excuse me”

8.Kutapika ukilewa sana.

9.Kusimama tao kwa smokies zone na kula hapo…fungiwa ukulie mbele.

10.If wewe ni bachelor na kwako uko na bathing soap na laundry soap.

11.Kungoja ufunguliwe soda kwa function… Meno ni ya nini boss?

12.Kuoga morning na jioni.

  1. Kushika mtu wa boda kiuno.

  2. Kulala na shorts , T-shirt na sock (mwanaume ni kulala na ngotha pekee ata kukiwa na jeve)

  3. Kukula kuku na kisu na fork.

… ongezeeni zingine.

16.Kupost ii umefffii mchana time tuko busy tukitafutia familia

13 :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D beshte wangu one time i found him hugging the boda. i drove side by side na yeye nikiungua kwa gari
it was the talk of the office hadi today people bado wanamkumbuka juu ya hiyo story

i agree with 3, 4 and 6. the rest are debatable na itakuwa story ndeff sana

ungekuwa busy haungecomment. chieth.

#Gatekeeping

hii ni natural us 80s kids , it comes naturally . iko kwa dna .

  1. kukunywa smirnoff black ice , tusker cider , wine kwa bar

10.If wewe ni bachelor na kwako uko na bathing soap na laundry soap.

hapa what about kuoga na sabuni mbili?.. afro inameza cussons kumeza hadi inabidi niinunulie kipande…

No 4.nefa efa. Kwani kazi yake ni nini?
No 6.@junkie always leaves a tip so wacha achangamke

Mwanamme ni shilling… All those things will not take you far in life.

Wuss!

Hiyo 1 ni umama Mkubwa.

  1. kuinua simu above the head na kupiga selfie…ushoga kabisa!
  2. kubeba wet wipes na tissue kwa mfuko

i couldn’t agree more

19.Kubeba umbrella ati kunanyesha

Watu wa chips na guarana kama @MISCHIETH Wasikaribie pande ii…
warekebishe tabia na mienendo yao kwanza

Na Hawa wanaume wa kujipaka Vaseline ama balm kwa lips?? Na kuenda manicure?? :eek::eek:

utajua hujui emergency ya food poisoning ikupate na hakuna tissue around.Utatumia ngotha.

unakuta ng’ombe inakula chipo Na yoghurt. nkt.

Excuse me, hii muchene si umama?