io ni kifaa ya Uhuru ya kudanganya wagikuyu, anajua wanadanganyika haraka.
Mtu idle tu ndiye anaharibu siku mzima kutrvel io distance kidogo ivo.
io train inaenda tu siku moja weekly, so msidanganywe itasaidia kujenga uchumi, wanabiashara hutaka transport wanaeza tegemea daily kusafirisha mali.