Kanabambia wapi

Nimekuwa na wiki mzito mzito my frens, hata wakati wa kupumua hakuna ni madeadline kila pahali…sasa nataka form ya Friday…niliona walifunga my local The Yard pale Ridgeways. Natafuta pahali nitaenda kujivinjari with some good music nikiona warembo wakitingisa vinyambi

Mimi nakunywa KC na maji na wazito flani in an undisklosed lokeshen na sisumbui
[ATTACH=full]239485[/ATTACH]

fala,si uende ukakunywe machrome zako kule wewe hukunyuia?

Habari za thindigwa?

Jebel ndiyo zake

Satan!!! Umepika changaa nikujie kikombe ya cham?

was at club wakanda westy. one of the best.