Long before anyone had thought of producing T-shirts with slogans, East African women were wearing Kangas with often mischievous or coded messages.
[ATTACH=full]177954[/ATTACH]
[ATTACH=full]177955[/ATTACH]
[ATTACH=full]177956[/ATTACH]
[ATTACH=full]177957[/ATTACH]
[ATTACH=full]177958[/ATTACH]
[ATTACH=full]177959[/ATTACH]
[ATTACH=full]177960[/ATTACH]
“Panua paja mkwaja waja”
Sasa kanga kama hiyo ukikuta kavaa Mother yako si utaona soni?
yah ila leo ni mizigo toka hapo china. usa. uk n.k
mache
4
“Mke mkuna nazi coomer i wazi”
Elewa …
Kisa na Sababu ya hizi Kanga ni kupeleka Ujumbe fulani chini ya Maji …
Hazivaliwi Ovyo-Ovyo au na watu Wakongwe …
[ATTACH=full]177966[/ATTACH]
Unlike your average Slay Queens , these Women have to be very discrete in their Public transactions with Men …
Hiyo ni lahaja ya Kiswahili [ … aina ya tamko …]
Neno utaelewa pale ni " Kulegea" … kwa hivyo …
“… Nishike Unikande , Nikilegea Unipande. …”
Tuko Pamoja Sasa , Ndugu Yangu …???
Tuko pamoja sasa. Ngeli ya ara ero.
kev
10
Ooh yes she can, wakiwa na muthoni wa mukiri that would be a perfect threesome
Nano anakamuanga hii kitu?? Unye am a?
[ATTACH=full]177999[/ATTACH]
[ATTACH=full]178000[/ATTACH]
kev
16
wacha tusianze speculations hapa:D Na hii post si walicreate tu na hata ile ingine ya Munira Mohammed or sth…
kev
17
Hizi zina lugha safi sio kama hizi za kwetu coast
I like this thread very much.
Hizi Kanga zipo aina tatu…
1/ Za Watalii
2/ Za Wastaarabu
3/ Za Wakware
Chaguo ni lako wewe mnunuzi…
Hehehe…
Itabidi nicheki na Ustadhi flani kama kweli hio ni Methali muafaka…