Haya tena, the Ninja is back on trend. Atawatoa watu matumbo kama alivyotolewa Mwangosi. Aseme kuwa CDM atawatoa matumbo, ndicho anachomaanisha
Vongozi wa dini kemea kauli hizi
Mawaziri wakuu wastaafu kemea kauli hizi
Marais wastaafu kemea kauli hizi
ttps://www.jamiiforums.com/threads/waziri-lugola-nitamtoa-mtu-matumbo-atakayefanya-uchochezi-kwenye-kampeni-za-uchaguzi.1461227/
Sasa awe muangalifu yasije yakamwagika yake na jinsi alivyo kama Vits…ni uharo tu ndio utakaotapakaa kwa barabarani.
sesere
July 28, 2018, 7:32pm
4
,inabidi kutii tu,vinginevyo utaokotwa coco beach kwenye viroba,dawa ni kuhama nchi mpaka huyu bwana asiyeshaurika amalize muda wake ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Jamaa.nadhani anamatatizo kichwani
Kangu Skye kuna watu wawili ambao hawacgezewi nch hii
Zitto na Maalim ukiwachezea utalipata unalolitafuta