Kangi Lugola asema: Atawatoa watu matumbo kwenye kampeni...

Haya tena, the Ninja is back on trend. Atawatoa watu matumbo kama alivyotolewa Mwangosi. Aseme kuwa CDM atawatoa matumbo, ndicho anachomaanisha

  1. Vongozi wa dini kemea kauli hizi
  2. Mawaziri wakuu wastaafu kemea kauli hizi
  3. Marais wastaafu kemea kauli hizi

ttps://www.jamiiforums.com/threads/waziri-lugola-nitamtoa-mtu-matumbo-atakayefanya-uchochezi-kwenye-kampeni-za-uchaguzi.1461227/

Mshenzi yule.

Sasa awe muangalifu yasije yakamwagika yake na jinsi alivyo kama Vits…ni uharo tu ndio utakaotapakaa kwa barabarani.

,inabidi kutii tu,vinginevyo utaokotwa coco beach kwenye viroba,dawa ni kuhama nchi mpaka huyu bwana asiyeshaurika amalize muda wake ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Jamaa.nadhani anamatatizo kichwani

Kangu Skye kuna watu wawili ambao hawacgezewi nch hii
Zitto na Maalim ukiwachezea utalipata unalolitafuta

Ngoja tuone…

Cc: @Mahondaw

HAYA