but his friends @Sokwe mtu @T.Vercetti want to play:D
Heheee :D:D:D:D
:D:Dshit is funny, hapa naweza ua mtu akinifanyia hivi
:D:D:DKwanza mwenye anadance na rhythm ni wewe ghaseer
:D:D:Dwee mkamba jinga Nilikwambia ile siku tutapatana nitakuwekelea uppercut tyson style hio meno yako brown uateme chini yote ubakie kibogoyo.
:D:D
Huyo ni Rashford kabla aomoke
:D:D:D
Na kweli wewe ni kinyozi/beautician. Yaani umeona hizo kucha kwa umbali hivyo??
Eeeh,macho zangu niliambiwagwa ni kubwa ka bainokulas