Kanisa Sacco

Bwana apewe sifa, apewe sifa tena leo kanisa imejaa kapsaaa hadi pastor na treasurer’s smile zimefika kwa maskio. Mi niko St.Stephens Jogoo Road.

4 Likes

Naona DC Umoja, Bishop JB Masinde kwa NTV.

Number yake ya m-pesa iko active mtumie kakitu.

1 Like

He doesn’t operate like that.

Mtuombee uko maze, tuko kwa Mhindi sisi tukifanya kazi, but at least tunajua baraka inatoka kwa kutoa fungu LA kumi, but Mungu atukumbuke na atusamehe dhambi zetu, Amina

1 Like

Haukuona ule kamzee alisema Mungu hukupatia net, 10% yake aliikata at source.

3 Likes

usidanganye ivyo, hiyo ni temptation, huyo Mungu alikuambia ashakata yake?

alikwambia hajakata? mbona watu hufanya mungu akae kama broker pale marikiti? kuitisha za macho…

4 Likes

Sponsor, tubonge ukweli, bible inasemaje?? Si ni ulipe 1/10th pekee kwa Mali yenye umeget, story zingine zinatokea wapi??

hata mimi nilijua ni 10 p c ya yenye iko mkononi…hii mambo ya collecting in advance (ati upande mbegu!:mad:) kama loan ya shylock sijaona…

ooh ni kama hatukuelewana, sasawa

God demands only 10pc as tithe which should be used to run church operations. Lakini makanisa ya siku hizi wanatumia izo hela kujinufaisha, Yesu alisema kanisa lieneze ujumbe wake, kanisa isaidie maskini, wale wasio na chakula walishwe, walio korokoroni watembelewe, walio wagonjwa watembelewe na waombewe, in essence church monies should be used to help those in need and to spread the gospel. Haya mambo ya kujenga majumba makubwa, kufanya biashara (Pcea and milele beach hotel) , kununulia watumishi wa Mungu majumba makubwa, magari na wengine ndege za kibinafsi, this is corruption of God’s work and they will be punished.

3 Likes

wanasema ni manifestation of god’s blessings…but the Book says all is vanity…

1 Like

True that, one day we are born another we die and the world moves on as if we were never here.

2 Likes

10% ni yangu ya kujibamba(kujirudishia mkono) but si nipelekee mwanaume afurahishe bibi na watoto wake. Kuna vitu nimeona kwa kanisa for sometime whereby the congregation inachezewa tu hadharani bila maswali.

2years ago Anglican pastors went to Rome, Italy with their spouses each spending $5500 pocket money included instead of helping needy kids with school fees.

2016 my church wanted to buy a piece of land which was to cost 4.3 mirrion shirrings and a harambee followed to collect that amount…kidogo kidogo ati hiyo shamba imeuziwa MTU mwingine, so pesa ikae kwa bank juu haina kazi tena. Two months later the same church is broken into by burglars taking with them some items prompting another harambee to erect a bigger wall and as usual a cool 200k is collected. October 2016 another harambee for the construction of more classes for Sunday school a cool 600k…Hahahaha pastor ako na Harrier mpya, treasure alimaliza nyumbani huko Ruai, elder anasimama MCA, pesa za self help group ya kanisa(registration shs.1000 a person and a monthly contribution of the same amount) zimelost after being active 2 years. Mimi huku nahurumia the masses juu hakuna MTU unataka kuuliza MTU was mungu maswali na pia siwezi chomea kanisa juu am benefiting from the same.

1 Like

[SIZE=7]![SIZE=4]halafu mnitishe ati nitachomeka sababu siendi kanisa…i think god or satan will have too much fuel for his fires already mbele nifikiwe…[/SIZE][/SIZE]

If you can’t beat them join them. Enda kanisa Gashwin hata Wewe unawesa watishia. Alafu kale ka- team kako si nilikuambia katachapwa? Niamini kuwa EPL ni ya Liverfools.

hio sasa ndio upussy…

naogopa kula haramu sana. anything that can make me lose my freedom…ah ah… and that includes freedom from my own conscience by the way…

Me papa told me the same na si kitambo as if He knows am not being genuine mambo ya god na kanisa…ndioe ndatukirie o guito, but I do feel guilty sometimes.

ukizoea kula haramu utauliwa na bat. bat itapata echolocator malfunction igonge roof yako ufikirie ndio umekujiwa upate mshtuko wan moyo uwe past tense…:slight_smile:

1 Like