Kanjo vs punda amechoka

#15
have you ever noticed the ka-courage that comes when you are joined by other wananchis in such a protest?jamaa at first alikuwa ni recording na kushout..vile ka-crowd kameanza kubuild maneno zikatoka kama 'toeni mkebe yenyu hapa...matakataka....stupid'....also have you noticed after crowd kuja ametaja hadi mambo ya journalist wa citizen,meaning he had that in mind ata akianza kurecord so alikuwa anaangalia boundaries sana..
but this is bravery
 

Top