kapatikana tena

vipi wadau, miezi sita iliyopita, bibi yangu kagundua natumia bangi… tuliongea na nkamwahidi kuiacha… leo amepata viwili na kiberiti. kanionyesha na kunyamaza… anapanga nini??

nvchieth

hakuna kitu anapanga. ameshajua wewe ni tumbili ni hivo

Apanga special diet ya steel wool and crushed glass…:meffi:

wooi

ikue ikue

Kama mbaya mbaya futa fagi usiwache

The real question here is… How do u hide ‘weed’ smell and behavior for more than six months

whats the big deal there, passive smoking ya nusu per day mtu hawezigundua. kuficha ni rahisi… in the attic

Mradi umpe mkeo na wanao mapenzi moto moto. Nakuhakikishia hakuna lolote bovu litakalotokea. Ni wangapi hawavuti ile hali hawajukumiki makwao?.

Samahani bibi au mke?.

acha kujishebedua mwenzangu, sote twajua ni kutupumbaza tu. Waogopa jiko sembuse bangi. bana watubeba, hulka zako tu zanena .

ishia bana

Billy Drago umefufuka?

hiyo ni kusema nini. sikuelewi kama ineos 1.59

Tom Bayeye :D:D

Anapanga kukusugua mkundu kwa mushakwe mmoja

ufutaji kama uraibu haudhuru kazi yangu

Tangu lini ikawa unatumia bangi ? Tafhali wacha kuituia ,you will mess your life.

Or rather, what would you do if you found out she has been smoking all this time?

bora unavutia kwako…