KARIBU:BRIGHT FOREX TANZANIA INSTITUTE

[ATTACH=full]181027[/ATTACH]

Kazi yao BFTT kubwa kwao ni kukupa elimu na msingi wa kujitegemea kwenye soko la forex kukupa elimu ya kulitambua soko zima la forex jinsi ya kuingia sokoni bila utegemezi wowote na kuepuka kuchoma account kila siku, usije kupoteza mda wako kuwa sikiliza scammers kama una malengo ya mda mrefu kwenye soko la forex basi jua hakuna kingine kama ku invest kwenye elimu (knowledge)utakuwa na uwezo wa kuuliza maswali msaa 24 ndani ya week,

Elimu na mafunzo ni mambo mawili muhimu ambayo wafanyabiashara wa forex wote wanahitaji kuzingatia ili waweze kufanikiwa katika biashara ya forex. Ikiwa hujisomei mwenyewe kwenye soko la forex na biashara yenye ufanisi, huwezi kutarajia kutengeneza fedha yoyote halisi.

Niwaite BFTT wanafundisha jinsi ya kutengeneza pesa kupitia FOREX TRADE na wana deal na currency na commodity

faida ya kujiunga nao unapata free analysis na signal pia kama uko facebook. whatsapp na telegram. bure.

Ili kusaidia kwa suala hili, broker wa forex hutoa programu za elimu na video, mafunzo, na vitabu vya biashara vya kisasa ambavyo unaweza kupata kwa urahisi kupitia tovuti zao. Hata hivyo, kwa maoni yetu, si broker wote hutoa taarifa ambayo ni za kina na za kutosha. Ili kujifunza iwezekanavyo, utahitaji kutafuta kupata watu wazoefu na wenye uwelewa wa kutambua njia za mafanikio kwenye forex kiundani ili iweze kuweka safari yako kuwa fupi na ya haraka.

Kozi yetu inajumuishwa katika Kozi Bora Bora za Forex 20, Shule & Degrees

Trade Any Instrument Including:
– Forex
– Indices
– Commodities
– Leading & not lagging method

UTAFUNDISHWA YAFUATAYO:

ELEMENTARY SCHOOL

Kindergarten Types Of Charts
1st:Grade Japanese Candlesticks
2nd: Grade Support and Resistance, Trend Lines, and Channels
3rd: Grade Fibonacci
4th: Grade Moving Averages
5th: Grade Common Chart Indicators
Bollinger Bands, MACD, Stochastics, RSI, and Parabolic SAR

MIDDLE SCHOOL

6th: Grade Oscillators and Momentum Indicators
7th: Grade Important Chart Patterns
8th: Grade Forex Pivot Points

HIGH SCHOOL

9th: Grade Multiple time frames
10th: Grade Elliott Wave Theory
11th: Grade Create Your Own Trading System
12th: Grade Market Hours ‐ Know When to Trade
13th: Grade Money Management
14th: Grade Plan Your Trade and Trade Your Plan

COLLEGE

Multiple Trading Personality Disorder
Trading News
Market Sentiment
U.S. Dollar Index
Carry Trade
The Lazy Forex Trader’s Way to Riches
Be a Forex Trader, Not a Forex Sucker
The Number One Cause of Death for Forex Traders
Commodity Currencies
Currency Crosses
Divergence Trading

MASOMO YETU YANA PATIKANA KWA NJIA MBILI.
ONLINE

(hii ni kutokana na kupunguza gharama za mtu kusafiri mpaka kuja dar kwa ajili ya kozi ya week 2 na pia inasaidi kurahisisha na ku balance mda wako wa kufundishwa)

LIVE: "hii utakuja tulipo kila siku mpaka utakapo maliza kozi yako ya forex"

BEI ZETU NI NAFUU HASA YA ONLINE NA LIVE PIA.

KARIBU SANA

+25744486589 PIGA, MSG
[email protected]

UNAWEZA KUTUPATA FB: Bright Forex Tanzania institutes
NA
FB GROUP Se connecter à Facebook | Facebook
KWA JINA LA bright forex tanzania institute NA youtube.

Forex tena!!!

Kwenye ubora wenu

Mnatoa vyeti baada ya kumaliza mafunzo?

https://www.babypips.com
C&P

Sawa sawa

ntarudi kusoma vzr

Fursa kama izi muda mwingine akili kumkichwa

Ha ha ha ha ha ha jamaa kapiga
Control C afu aka piga tena Control V
toka school of pipslogy

mmmh

Hmm!.. Wazee wa fursa…

kumekucha

Ontario katika ubora wake, alishatutangazia anatuletea fursa mpya, haya hii apa

[ATTACH=full]181560[/ATTACH]

read this[ATTACH=full]181607[/ATTACH]

Naam!