Karibu Lunch

[ATTACH=full]12630[/ATTACH]

4 Likes

Junk

pilau njeri.

seminar itaisha saa ngapi?

4 Likes

Lunch kaa hii na vile mwezi umepiga corner jameni hii ni seminar mtu wangu.Kubali yaishe.

1 Like

sawa basi ni seminar lakini si ni mchele tu na nyama kwani hiyo hupatikana seminar pekee

Hata mimi nimeangukia. I live to eat.

[ATTACH=full]12646[/ATTACH]

3 Likes

Due to pressure from Nefertities that we are mean with ourselves, I passed by a supermarket and among my other purchases picked a can of Sardines, the thing weighed 105grms and was selling at 120 shillings. On reaching the cashier’s till, I looked at the damned thing again, picked it and told the cashier not to include it, paid for the rest and left it right there. Wacha nikanywe pombe.

3 Likes

Nyinyi ndio wale mnakunywa pombe ya 5k halafu mnakula mitura, maraa na soup hapo nje ya bar because you value booze more than food.

2 Likes

He he, not me I take good care of myself and at home am fed till I ask, ‘my lovely domestic helper, you want to kill me with food?’.

Sawa. But it is something I have observed in men who hang out a lot.

Hizo vitu umetaja hapo juu huwa tamu sana ukilewa. Kwanza hiyo harufu ya mara ya mbuzi ikichomwa…uuuwi

2 Likes

hii picha hunibamba…no wonder buttons zimeanza ku-protest…

Kabla ya kupiga mitungi au kinywaji chochote kile, kwetu twala pweza wa nazi kwa ugali.

1 Like

Good on you. Sardines ni Omena kwa jina lingine.

1 Like

hehe those things are quite delicious kwanza akiwa na kachumbari ya pili pili kando, safi sana

Haha, hio mitura ni ya kuongeza utambi

1 Like