Karibuni breakfast

[ATTACH=full]245815[/ATTACH]

what’s that muck?

Black beans,milk, and mandasi??

by black beans unamaanisha dolichos lablab? njahi?

Ni mahamri na mbaazi waungwana tembea Kenya.

No to machakura

Hizo Sasa.

You dont know what you are missing out on.

hii si ni pasua ya mandondo na ndunya?

Swaafi mdau usisahau na chai rangi…

Hii huingia sana na chai ya maziwa yenye tangawizi but zote zinaenda

Kwa kadogo siendi tena

Mbaazi ya nazi na mahamri, breakfast yangu daily kwa mama Amina.

That burnt out thing you call a mandazi looks like something a rat has been nibbling on for weeks.

Cheza sana kaka. The mandazi are hot, fresh and tight (ktalk standards)

Breakfast ya industrial area. Enjoy chief

mambo ya uswahilini io. mbaazi za nazi na mahamri

[ATTACH=full]245817[/ATTACH]

Also saw it pale Mombasa, what’s missing is a bowl of beef soup and meat

Mahamri na mbaazi yanapatikana every county in pwani. Hapo kwa bowl of soup hatuko pamoja.