Karibuni early breakfast Elders

[ATTACH=full]255636[/ATTACH]

kwani economy ni mbaya aje unakula zile vitu tunarushiaga mbwa?

Matumbo na ndengu pekee haiwezi kushibisha. Weka ugali kubwa hapo.

Hiyo sio matumbo, saw this picture elsewhere. Ni mjulubeng ya punda

Umewaste iyo minji bana.

Shenzi. Wacha kuharibu appetite ya weekend

Hakuna. Mjulubeng ya punda ni ya black.

:D:D

Labda ikiiva inachange colour.

Hiyo ni lamprey

Hiyo ni dudirooo,nikii weee

Kama hiyo ni ndundiro then cooks wa kwenu must be creative artists

I have just identified the organ,it doesn’t mean ni cook wa kwetu alipika namna hivyo.
Can i be inviting anytime am slaughtering,your knowledge on animal body parts seems wanting

Truthfully,knowing animal body parts won’t be helpful. I am more interested in eating them. And ndundiro is not an animal body part.

Kaii wi wa muhiriga urikuuu wee.Nani atachinjia watu wako mbuzi.

Have you ever cooked it?

But I said labda.

again,this shit?

Nichinje halafu @Motokubwa afanye nini?

@Motokubwa atakuwa tu lakini kulingana na vile wanaweka nyama mentaphenine itabidi tumeanza kuchinjia home