karibuni lunch...kibandaski manenos

[ATTACH=full]134113[/ATTACH]

ongezea soup Mkamba

Mie naona ziko tu sawa. Then baadae a fruit salad

wacha niitishe mama kevo.:D:D:D

hio lazima …nikienda ofe niende nikimeza

I prefer taking individual whole fruits or slices.

Peasant all over,can’t relate.

afande kwani leo biashara iko juu aje hautaki chakula ya kibanda kwenye umezoea.ringa tu

Hio chapati haijaiva poa.

wewe ndio unaiona hivo.iko sawa

Inakaa hongo leo zinaingia kuingia,chomesha kakitu

Chapo moja kwani wewe ni @Mzee mzima?

afande inakaa hii elections period kitunguu inanuka ni kama uko perkerra irrigation scheme

Hehe, kazi hadi Kesho, hii serikali tunaitumia vilivyo

#team mashakura

#team floods

Sijawahi filisika kama huu, mwezi, from western and just buried :v: cousins, lazima nifanye recovery kwa mraia flani

Hehehe

Jama hajawahi kunyongwa na Macha Kura

Me three.