hio ni food mimi hukula breakfast @Jirani leta ile picha ume save yangu ya chakula ya umbwa ya patel :D:D:D:D:D , lunch sembe na nyama lazima then nifunge mlango nichape pawanap ya 45 minutes mbaymbaya
Yaani hiyo food ni 130/
Sawa cashier.
Kunia ulale
utatumia guarana na chips i oil mkia yako ?
Wacha mchele na madoido, hio ingine ya yellow ni nini??
:D:D:D:D:D
hiyo inakaa waru
waru mtu wangu.:D:D:D:D
DO1 uliacha umama
ndio hio man.na ni moto kuruka…leo nakula chakula ya peasants coz sinaga class mimi.i fit anywhere
:D:D:D:D
Meffi wewe
:D:D:D:D:D:D:D:Duncle umeanza fombe mapema sana
Kama wewe chief mmama hujaacha na ninakufuata, mbona niwache??
[ATTACH=full]142468[/ATTACH]
Ni kubwa baba labda iitwe kuwaru
kama hajawacha leo Guarana zake on your bill pamoja na mshikaki
Shoga kujia guarana, meffi
Mimi nkikula chakula kama hiyo for supper, nitapata nightmares, so ntaamka usiku nipike sembe ndo nisipate nightmares
Na unalipa ndio order ifike kwa meza :):)