weekend imeanza mapema[ATTACH=full]11386[/ATTACH]
No. Never. Neh. Nefer. Nefertitis.
enjoy, be safe…
Hiyo pombe sijaitambua ; ni First generation ama ni Second Generation?
Whatever you do…
[ATTACH=full]11391[/ATTACH]
Tulia boss buda . ingekua mzinga ya mtembezi si ungeweka ribbon kama ile ya admean Obama akiwa kenya??? khasia
@Unicorn ananikujia leo. so sina wasiwasi!
q
Biraru…sukari imekuanza mapema.
what do u mean? sukari?
Watu hukunywa Balosi mostly ni wale wako na ugonjwa wa sukari.
Umeset huyu karau into panic attack
I thought there is still Friday left before we call it a weekend or these days it starts earlier?
hata mimi nitaanza kesho by 5.01 pm.
Did I hear my teacher say that a verb was “doing”? @Nefertities @MulikaMwizi please help me here.
The Grammar Squad needs to make a formal statement. Lets wait for them to wake up.
…inakaa mkojo ya UwesKamau bwanaa…
tuelezee zaidi…kwani ungle wetu ni homo ama mlitoana na mikojo yake wapi?
@gashuthy…ngojea aamke ndo acum akuelezee…
Apo ni wapi weather ni fine hivo na akuna motutho