Kaswende - Syphilis

[SPOILER=“WARNING: DISTURBING IMAGES”] [ATTACH=full]88397[/ATTACH] [ATTACH=full]88396[/ATTACH] [ATTACH=full]88395[/ATTACH]
[ATTACH=full]88398[/ATTACH]
[/SPOILER]

Kaswende ( ing. syphilis ) ni mojawapo kati ya maradhi ya zinaa ambayo inasababishwa na bakteria inayofahamika kama Treponema pallidum .
Katika hatua za mwanzo, vipele katika sehemu za uzazi huanza kujitokeza muda mfupi baada ya maambukizi ambavyo baadaye hupotea vyenyewe.
Kama ugonjwa hautatibiwa,
maambukizi huendelea kwa miaka, yakishambulia mifupa , ubongo na moyo na kusababisha madhara mengine yanayotokana na matatizo katika mfumo wa fahamu kama vile homa ya uti wa mgongo na magonjwa ya moyo na kiharusi .
Kaswende wakati wa ujauzito
unaweza kuwa hatari kubwa kwa
kiumbe tumboni, kama vile
kusababisha kutoumbika vizuri
( deformity ) na kifo .
Wanawake wengi wajawazito katika nchi zilizoendelea huchunguzwa kwa uwepo wa ugonjwa huu katika majuma ya kwanza ya mimba ili kutibu ugonjwa kabla kitoto
hakijaathirika.
Siku hizi kaswende inaweza kutibika kwa urahisi fulani kwa penicillin .

https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Kaswende

Weka disclaimer

Scheisse!!! Gani hizi tena?:eek::eek::eek:

:confused::confused::confused:

You are stale meffi in my eyes wtf dude

1 Like

Naskia mabuda walikua teenagers in the 70s na 80s walikua wanapata hizi magonjwa sana

1 Like

wueh…coomer tamalisa sisi

1 Like

Huu ugonjwa ndio ulimaliza Mozart the genius classical composer on 5 December 1791 at
the age of 35.

Don’t shoot the messenger.

1 Like

Akina Al capone died from syphilis…them days hakuwa na dawa ya hio kitu

1 Like

Umejua aje hii lugha. Anyway I said earlier hizo away goals za Monaco pale city will come to haunt them. Leo mlijionea

1 Like

niaje jirani?

Fixt

2 Likes

Hii lugha kuna wakati nilikuwa nimeanza kuisoma. Kuna audio CDs za deutsche welle nilipewa na dame flani siku hizi mko naye huko. Basics kiasi tu…

kwani sisi ni neighbours na sijui??

2 Likes