Kati Ya Man U na Arsenal gani kali majamaa?

Wadau hapo vipi?
[ATTACH=full]228757[/ATTACH]

Fuda

Gombe

Noogle

ngite!!

Swine

Paka shume

Ghasia

Arsenal imenipatia pesa.
[ATTACH=full]228778[/ATTACH]

hehe palmela njoo kwa mungu bado anakutaka

Pesa imengia sasa ni lotion ndio bei nimepanda.